Skip navigation.
Home kabah

Tuma Mapishi

Tuma Mapishi yako kwa kutumia fomu hii. Weka Jina lako uliloandika katika Maudhui (Subject) na utaje pishi lako, mfano; Khadijah (Biriani). Weka Mapishi yako katika Orodha ya Menyu 'Category' iliyo munaasibu. Vile vile Tuma picha yake katika anuani ya mapishi@alhidaaya.com. Mfumo huu ni kufanya wepesi kupokea mapishi na kutambua mtumaji.