|
|
User loginPokea Makala |
Jawabu Ya Chemsha Bongo |
Kikokotoo (Calculator) Cha ZakkahZingatio La WikiMwanamme Ndio Kiongozi Wa MwanamkeHaikuwa ni bure kuwapatia uongozi wanaume juu ya wanawake ndani ya Uislamu. Huu ni uongozi wa kimaumbile ambao unakubalika ndani ya makabila na mataifa mengi duniani; kwamba mwanamme ndio mkuu wa shughuli za mwanamke. |
|
|