44-Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Wanawake Wasiojua Kutawadha Nini Hukmu Yake

 

 

Fataawaa Mas-ala 60 Kuhusu Hedhi Na Nifaas

 

44-Wanawake Wasiojua Kutawadha Nini Hukmu Yake

 

Imaam Ibn 'Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)

 

Alhidaaya.com

 

 

 

SWALI:

 

 

Nini hukumu ya kutokujua hukumu ya kutawadha  kwa baadhi ya wanawake?

 

 

 

JIBU:

 

 

Ni kutubia kwa Allaah na kuwauliza wenye elimu ya hilo.

 

Share