A-Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

 

Alhidaaya.com

 

A

Neno

Maana

 

Kiarabu

 

Aakhirah

Akhera, Siku ya Mwisho

آخرة

aali/a’laa

bora kabisa, adhimu, tukufu

العلي/الأعلى

abadi

daima, milele, kamwe, katu

أبدا

abdi (Sing)

abidi (Plur)

 

mtumwa au mja wa Allaah

عبد/عباد

abuwabi

milango

أبواب

abyadhi

baidhati/eupe

أبيض

adhabu

adhabu, mateso.

 

عذاب

adhimu

enye sifa/liyotukuka, tukufu/aali/Jalili, kubwa mno.

 

Jina na Sifa ya Allaah ('Azza wa Jalla): Mkubwa, Mtukufu Mno.

 

عظيم

afriti

jini mbaya anayedhuru watu

عفريت من الجن

afwaji

kikundi cha watu.

  أفواجا

ajili

harakisha

أجل

ajmaina

pamoja, wote

أجمعون

akhirisha

kuchelewecha

أخر

akili

akili, bongo.

عقل

alamina

ulimwengu, walimwengu.

عالمين

ansari

mnusuraji, msaidizi

أنصار/ أنصاري

ardhi

ardhi, nchi

ارض

aridhi

mabadiliko katika hali ya mwili au akili ya mtu, kukengeuka, kugeukilia mbali jambo, kupuuza.

عرض

arifu

taarifa, kutaarifu, kujulisha

عرف

arshi

-‘Arshi ya Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa) iliyokuweko juu baada ya mbingu saba.

 

-kiti cha enzi cha mfalme au mtawala. 

 

عرش

arzaki

wingi wa riziki

أرزاق

asaa

huenda, pengine, labda

عسى

ashirafu, karimu

tukufu, ukarimu, taadhima.

كريم

ashiya

jioni, usiku

عشية

asighari

ndogo kabisa

أسغر

asilani

kamwe, abadani, katu, kiuhalisi

أصلا

asira

mateka

أسرى/ أسير

asisi

kuanzisha jambo au kitu

أسس

ati! eti!

neno la kutanabahisha jambo kumfanya mtu asikilize. Neno la kukanusha jambo kwa mshangao.

 

ألا

atia

zawadi/kipawa

عطاء

atibu

toa makosa, kengemeka, shutumu.

 

يستعتبون

atifali

watoto wadogo

أطفال

auladi

watoto wa kiume

أولاد

awlaa

bora zaidi, kiupambele

أولى

azimia

kuazimia kutenda jambo.

عزم

insi

binaadamu, mwanaadamu, mtu

الإنس

istahabu

kupendekezeka, kuhiari, kupendelea

أستحبوا

istihizai

isthizai, kejeli.

إستهزاء

istiimaar

utaratibu ambao nchi moja hutawal  nchi nyengine kama koloni.

إستعمار

umuri

mambo

أمور

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Share