H-Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

 

Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu

Alhidaaya.com

 

Neno

Maana

Kiarabu

habari

habari, taarifa.

خبار

habibi

mpenzi

حبيب

habithi

habithi, mbaya, mtu mbaya au muovu.

خبيث

hadhari

kujikinga na jambo, kuchukua hadhari jambo lisikufikie, kutahadhari

حذر

hadithi

 

 

hadithi, kisa, hadithia, simulia

 

 

حدث

 

Hadiyth

Hadiyth za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam).

حديث

hajiri

kuhajiri, kuhama

هجر

halisi

yenyewe, makhsusi.

خالص

hasanati

jema, jambo zuri

حسنة

hata

hadi, mpaka

حتى

hatima

hatimaye, mwisho

حتما

hawaa

Matamanio

هواء

hiliki

angamia

هلك

huba

mapenzi

حب

huda, hidaaya

mwongozo, uongofu

هدى هدايا

hudhuria

kuhudhuria jambo kama kuhudhuria darasani, kuhudhuria sherehe. 

حضر

husuni

ngome, nyumba au kuta madhubuti za kukinga

حصن

huzuni

kupatwa huzuni kutokana na mtihani, kifo, maradhi, kupotelewa na mtu, mali n.k

حزن

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Share