36-Sharh Asmaa Allaah Al-Husnaa Wa Swifaatihi: الْمُقِيتُ

Sharh Asmaa Allaah Al-Husnaa Wa Swifaatihi

 

(Maelezo Ya Majina Mazuri Ya Allaah Na Swiffah Zake)

 

Alhidaaya.com

 

 

الْمُقِيتُ

 

 

الْمُقِيتُ

Al-Muqiyt

Mwenye Kuruzuku Chakula

 

 

 

Allaah (سبحانه وتعالى) ni Pekee Ambaye hukipa riziki kila kiumbe kilichopo kwa kitu cha kukitia nguvu, Anayekipa chakula na kukiongoza kwa vyovyote Atakavyo kulingana na hikma na sifa Yake.

 

Anasema Allaah (سبحانه وتعالى):

 

مَّن يَشْفَعْ شَفَاعَةً حَسَنَةً يَكُن لَّهُ نَصِيبٌ مِّنْهَا ۖ وَمَن يَشْفَعْ شَفَاعَةً سَيِّئَةً يَكُن لَّهُ كِفْلٌ مِّنْهَا ۗ وَكَانَ اللَّـهُ عَلَىٰ كُلِّ شَيْءٍ مُّقِيتًا ﴿٨٥﴾

Atakayeombea uombezi mzuri atapata fungu lake katika hayo. Na atakayeombea uombezi mbaya atapata sehemu yake katika hayo. Na Allaah daima ni Mwenye kudhibiti na Mwangalizi wa kila kitu[An-Nisaa (4): 85]

 

 

 

Share