13-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Sunnah ya Mwenye Kurejea Kutoka Safari Kuanzia Msikiti Ulio Karibu Yake na Kuswali Rakaa Mbili Ndani Yake

 

Riyaadhw Asw-Swaalihiyn

 

باب استحباب ابتداء القادم بالمسجد الذي في جواره وصلاته فيه ركعتين

13-Mlango Wa Sunnah ya Mwenye Kurejea Kutoka Safari Kuanzia Msikiti Ulio Karibu Yake na Kuswali Rakaa Mbili Ndani Yake

 

Alhidaaya.com

 

 

عن كعب بن مالِك رضي اللهُ عنه : أنَّ رسولَ الله صلى الله عليه وسلم كَانَ إِذَا قَدِمَ مِنْ سَفَرٍ ، بَدَأ بِالْمَسْجِدِ فَرَكَعَ فِيهِ رَكْعَتَيْنِ . متفقٌ عَلَيْهِ .

Imepokewa kutoka kwa Ka'b bin Maalik (Radhwiya Allaahu 'anhu) kwamba Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) alikuwa akianza Msikitini anaporudi kutoka safari na kuswali rakaa mbili ndani yake. [Al-Bukhaariy, Muslim na Abu Daawuwd]

 

 

Share