05 Dua'a Unayomuombea Aliyevaa Nguo Mpya
(7)
تُبْـلي وَيُـخْلِفُ اللهُ تَعَالى .
“Itakwisha (kwa kuzeeka na kupasuka) na Mwenyezi Mungu atakupa nyingine”
(8)
اِلبَـس جَديـداً وَعِـشْ حَمـيداً وَمُـتْ شهيداً
“Vaa nguo mpya, na ishi hali ya kuwa ni mwenye kushukuru, na kufa hali ya kuwa ni shahidi “
»
- Login or register to post comments
- Email this page


