10 Dua'a Baada Ya Kutawadha
(13)
أَشْهَدُ أَنْ لا إِلَـهَ إِلاّ اللهُ وَحْدَهُ لا شَريـكَ لَـهُ وَأَشْهَدُ أَنَّ مُحَمّـداً عَبْـدُهُ وَرَسـولُـهُ
“Nakiri kwa moyo na kusema kwaulimi kwamba hapana Mola apasae kuabudiwa kwa haki ila ni Mwenyezi Mungu , peke yake, wala hana mshirika wake, na ninakiri kwamba Muhammad صلى الله عليه وسلم ni mja wake na ni Mtume wake”
(14)
اللّهُـمَّ اجْعَلنـِي مِنَ التَّـوّابينَ وَاجْعَـلْني مِنَ المتَطَهّـرِينَ
“Ewe Mwenyezi Mungu nijaaliye niwe miongoni mwa wale wanaoomba msamaha, na nijaalie miongoni mwa wale waliosafi"
(15)
سُبْحـانَكَ اللّهُـمَّ وَبِحَمدِك أَشْهَـدُ أَنْ لا إِلهَ إِلاّ أَنْتَ أَسْتَغْفِرُكَ وَأَتوبُ إِلَـيْك
“Utakatifu ni Wako, Ewe Mola wangu, na shukurani zote zinarudi Kwako, nakiri kwamba hapana apasae kuabudiwa kwa haki ila ni Wewe, naomba msamaha wako, na narejea kwako (kwa kutubia )”
- Login or register to post comments
- Email this page


