12 Dua'a Ya Kutoka Nyumbani
(16)
بِسْمِ اللهِ ، تَوَكَّلْـتُ عَلى اللهِ وَلا حَوْلَ وَلا قُـوَّةَ إِلاّ بِالله
“Kwa jina la Mwenyezi Mungu (ninatoka) ninamtegemea Mwenyezi Mungu , na hapana uwezo wala nguvu ila vyote vinatokana na Mwenyezi Mungu “
(17)
اللّهُـمَّ إِنِّـي أَعـوذُ بِكَ أَنْ أَضِـلَّ أَوْ أُضَـلَّ ، أَوْ أَزِلَّ أَوْ أُزَلَّ ، أَوْ أَظْلِـمَ أَوْ أَُظْلَـمَ ، أَوْ أَجْهَلَ أَوْ يُـجْهَلَ عَلَـيَّ .
“Ewe Mwenyezi Mungu najilinda Kwako kutokana na kupotea au kupoteza, au kuteleza, au kumtelezesha mtu, au kudhulumu au kudhulumiwa, au kuwa mjinga au kufanywa mjinga”
- Login or register to post comments
- Email this page


