Skip navigation.
Home kabah

11 Dua'a Ya Kuingia Nyumbani

(18)

    بِسْـمِ اللهِ وَلَجْنـا، وَبِسْـمِ اللهِ خَـرَجْنـاَ، وَعَلـى رَبِّنـا تَوَكّلْـناَ

“Kwa jina la Mwenyezi Mungu  tunaingia, na kwa jina la Mwenyezi Mungu tunatoka, na Mola wetu tunamtegemea”

   Kisha asalimie watu walio ndani