Skip navigation.
Home kabah

14 Dua'a Ya Kuingia Msikitini

 

(20)

أَعُوذ باللهِ العَظيـم وَبِوَجْهِـهِ الكَََرِِيـمِ وَسُلْطـانِهِ القََدِيـمِ مِنَ الشّيْـطانِ الرَّجِـيمِ،[ بِسْـمِ الله، وَالصَّلاةُ] [وَالسَّلامُ عَلى رَسولِ الله]، اللّهُـمَّ افْتَـحْ لي أَبْوابَ رَحْمَتـِكَ

 “Najilinda na Mwenyezi Mungu  Aliye Mtukufu, na kwa uso wake, mtakatifu, na kwa utawala Wake wa kale, kutokana na shetani aliyeepushwa na rehma za Mwenyezi Mungu, (kwa ina la Mwenyezi Mungu na rehma) (Na amani zimfikie Mtume wa Mwenyezi Mungu ) Ewe Mwenyezi Mungu  nifungulie milango ya rehma zako"