15 Dua'a Ya Kutoka Msikitini
(21)
بِسمِ الله وَالصّلاةُ وَالسّلامُ عَلَى رَسولِ الله، اللّهُـمَّ إِنّـي أَسْأَلُكَ مِـنْ فَضْـلِك، اللّهُـمَّ اَعْصِمْنـي مِنَ الشَّيْـطانِ الرَّجـيم
“Kwa Jina la Mwenyezi Mungu na rehema na amani zimfikie Mtume wa Mwenyezi Mungu, Ewe Mwenyezi Mungu hakika mimi nakuomba katika fadhila Zako, Ewe Mwenyezi Mungu najilinda kutokana na shetani aliyeepushwa na rehma Zako (aliyelaaniwa )
- Login or register to post comments
- Email this page


