Skip navigation.
Home kabah

18 Dua'a Za Wakati Wa Kurukuu

(33)

سُبْـحانَ رَبِّـيَ الْعَظـيم .  

“Ametakasika Mola wangu aliye Mtukufu” 

(utasema mara tatu)

(34)

سُبْـحانَكَ اللّهُـمَّ رَبَّـنا وَبِحَـمْدِك ، اللّهُـمَّ اغْفِـرْ لي

“Kutakasika ni Kwako, Ewe Mwenyezi Mungu  mola wetu na sifa njema zote ni Zako ewe Mwenyezi Mungu , nisamehe”

(35)

سُبـّوحٌ قُـدّْوس ، رَبُّ الملائِكَـةِ وَالـرُّوح

“Mwingi wa kutakaswa, Mtakatifu, mola wa malaika na Jibiriil”

(36)

اللّهُـمَّ لَكَ رَكَـعْتُ وَبِكَ آمَـنْت ، ولَكَ أَسْلَـمْت ، خَشَـعَ لَكَ سَمْـعي ، وَبَصَـري ، وَمُخِّـي ، وَعَظْمـي ، وَعَصَـبي ، وَما استَقَـلَّ بِهِ قَدَمي

“Ewe Mwenyezi Mungu Kwako nimerukuu, na Wewe nimekuamini, na Kwako nimejisalimisha, umenyenyekea  Kwako usikizi wangu, na uwoni wangu, na ubongo wangu, na mfupa wangu, na hisia zangu, na ambacho kimesimama juu ya miguu yangu”

(37)

سُبْـحانَ ذي الْجَبَـروت ،والمَلَـكوت ، وَالكِبْـرِياء ، وَالْعَظَـمَه

“Ametakasika Mwenye Utawala, na Ufalme, na Ukubwa, na Utukufu”