Skip navigation.
Home kabah

19 Dua'a Ya Kuinuka Kutoka Kenye Rukuu

(38)

سَمِـعَ اللهُ لِمَـنْ حَمِـدَه

“Mwenyezi Mungu Amemsikia mwenye kumsifu "

(39)

رَبَّنـا وَلَكَ الحَمْـدُ حَمْـداً كَثـيراً طَيِّـباً مُـبارَكاً فيه

“Ewe Bwana wetu ni zako sifa njema sifa nyingi, nzuri, zenye baraka”

(40)

مِلْءَ السَّمـواتِ وَمِلْءَ الأَرْض ، وَما بَيْـنَهُمـا ، وَمِلْءَ ما شِئْـتَ  مِنْ شَيءٍ بَعْـدْ . أَهـلَ الثَّـناءِ وَالمَجـدْ ، أََحَـقُّ ما قالَ العَبْـد ، وَكُلُّـنا لَكَ عَـبدْ . اللّهُـمَّ لا مانِعَ لِما أَعْطَـيْت ، وَلا مُعْطِـيَ لِما مَنَـعْت ، وَلا يَنْفَـعُ ذا الجَـدِّ مِنْـكَ الجَـد

“Zimejaa mbingu na zimejaa ardhi na vilivyomo ndani yake sifa Zako, na zimejaa (sifa Zako)  kwa ulichokitaka baada yake, Wewe ni mstahiki wa sifa na utukufu, ni kweli aliyoyasema mja Wako, na sote ni waja wako, Ewe Mwenyezi Mungu  hapana  anaeweza kukizuia ulichokitoa, na wala kutoa ulichokizuia, na wala haumnufaishi mwenye utajiri, kwani kwao Wewe ndio utajiri”