Skip navigation.
Home kabah

23 Dua'a Ya Tashahhud

(52)

التَّحِيّـاتُ للهِ وَالصَّلَـواتُ والطَّيِّـبات ، السَّلامُ عَلَيـكَ  أَيُّهـا النَّبِـيُّ  وَرَحْمَـةُ اللهِ وَبَرَكـاتُه ، السَّلامُ عَلَيْـنا وَعَلـى عِبـادِ كَ الصَّـالِحـين . أَشْـهَدُ أَنْ لا إِلـهَ إِلاّ الله ، وَأَشْـهَدُ أَنَّ مُحَمّـداً عَبْـدُهُ وَرَسـولُه

“Maamkuzi mema, na rehema na mazuri yote, ni kwa Mwenyezi Mungu, amani zishuke juu yako Ewe Mtume na rehema za Mwenyezi Mungu na baraka zake, amani ishuke juu yetu, na juu ya waja wa Mwenyezi Mungu  walio wema, nakiri kwamba hapana mola apasae kuabudiwa kwahaki ila ni Mwenyezi Mungu  na ninakiri kwamba Muhammad ni mja wake na ni Mtume wake"