31 Dua'a Ya Wasiwasi Usingizini Au Kusikia Uoga Na Mfadhaiko
أَعـوذُبِكَلِمـاتِ اللّهِ التّـامّـاتِ مِن غَضَـبِهِ وَعِـقابِهِ ، وَشَـرِّ عِبـادِهِ وَمِنْ هَمَـزاتِ الشَّـياطينِ وَأَنْ يَحْضـرون.
“Najilinda na maneno ya Mwenyezi Mungu yaliotimia kutokana na hasira zake na adhabu yake na shari ya waja wake na vioja vya mashetani na kunijia kwao”
»
- Login or register to post comments
- Email this page


