32 Anayoyafanya Mwenye Kuota Ndoto Njema Au Mbaya
Ndoto njema inatoka kwa Mwenyezi Mungu na ndoto mbaya inatoka kwa mashetani.
(114)
Akiona mmoja wenu ndoto nzuri asimzungumzie ila yule anaempenda.
Na anaeona ndoto mbaya anatakiwa
· apulize kushotoni kwake mara tatu.
· Kisha atake (aombe) hifadhi kwa Mwenyezi Mungu na alichokiota na kwa shetani mara tatu.
· Kisha hatakiwi kumzungumzia mtu
· Kisha asilalie ule upande au ubau aliyeootea, bali ageuke ubavu mwingine.
(115)
Atasimama kusali akitaka .
- Login or register to post comments
- Email this page


