34 Dua'a Baada Ya Salamu Katika Swala Ya Witri
(Mwisho kabisa baada ya kumaliza Swalah yote na sio baada ya kila Rakaa mbili au nne)
(119)
سُـبْحانَ المَلِكِ القُدّوس
“Ametakasika Mwenyezi Mungu Mfalme, Mtakatifu"
(mara tatu)
ربِّ الملائكةِ والرّوح
“Ewe Mola wa malaika na wa Jibriil”
»
- Login or register to post comments
- Email this page


