37 Dua'a Ya Anaekutana Na Adui Au Mwenye Kutawala
(126)
اللّهُـمَّ إِنا نَجْـعَلُكَ في نُحـورِهِـم، وَنَعـوذُ بِكَ مِنْ شُرورِهـمْ
“Ewe Mwenyezi Mungu hakika sisi tunakufanya Wewe uwe katika vifua vyao na tunajikinga kwako na shari zao”
(127)
اللّهُـمَّ أَنْتَ عَضُـدي، وَأَنْتَ نَصـيري، بِكَ أَجـولُ وَبِكَ أَصـولُ وَبِك َأُقـاتِل
“Ewe Mwenyezi Mungu Wewe ndie msaidizi wangu nawe ndie mnusura wangu, kwako ninazunguka na kwako ninavamia na kwako ninapigana”
(128)
حَسْبُـنا اللهُ وَنِعْـمَ الوَكـيل
“Mwenyezi Mungu anatutosheleza, naye ni mbora wa kutegemewa”
- Login or register to post comments
- Email this page


