Familia Katika Uislamu
Familia, ambayo ndiyo kitengo cha msingi cha ustaarabu, inavunjika katika zama hizi. Mfumo wa familia wa kiislamu huleta haki ya mume, mke, watoto na jamaa katika ulinganifu unaofaa sana. Inaimarisha tabia ya kutokuwa na ubinafsi, inastawisha ukarimu na mapenzi katika mfumo wa muundo wa familia yenye mpango mzuri. Amani na usalama unaopatikana katika kitengo cha familia imara huthaminiwa sana, na huonekana kuwa muhimu kwa ajili ya ukuaji wa kiroho kwa mwanafamilia wake.Upatanifu wa mpangilio wa kijamii hujengwa na kuwepo kwa familia pana na kwa kuwathamini watoto.
»
- Login or register to post comments
- Email this page


