Uislamu Ndani ya Marekani
Ni vigumu kueleza kwa ujumla kuhusu Waislamu wa Kimarekani. Ni waliosilimu, wahamiaji, wafanyakazi viwandani na madaktari. Jumuia hii yenye namna nyingi inaunganishwa na imani ya pamoja, iliyotegemezwa kwa mtandao ulioenea taifani wa idadi kubwa ya misikiti.
Waislamu walifika mapema Marekani ya Kaskazini. Mnamo karne ya kumi na nane, kulikuwa na Waislamu wengi katika Marekani ya Kaskazini.
- Login or register to post comments
- Email this page


