Kungu Manga Ni Dawa Ya Nini?
SWALI:
Naomba kujua maana ya kungu manga kwa kizungu/ kiarabu, pia kuwa ni dawa ya nini hasa?
JIBU:
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Shukrani zetu za dhati kwa ndugu yetu kwa swali lako. Kungumanga kwa Kiingereza inaitwa nutmeg na kwa Kiarabu ni Jawzah atw-Twayyib. Kungumanga hutumika
Na Allaah Anajua zaidi
- Login or register to post comments
- Email this page
- Chapisha


