Hadiyth Ya 10 - Mwenye Kufanya Amali Isiyokuwa Kwa Ajili Yangu Nitaikanusha
Hadiyth Ya 10
Mwenye Kufanya Amali Isiyokuwa Kwa Ajili Yangu Nitaikanusha
عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ قَالَ قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ (( قَالَ اللَّهُ تَبَارَكَ وَتَعَالَى أَنَا أَغْنَى الشُّرَكَاءِ عَنْ الشِّرْكِ مَنْ عَمِلَ عَمَلًا أَشْرَكَ فِيهِ مَعِي غَيْرِي تَرَكْتُهُ وَشِرْكَهُ)) مسلم و ابن ماجه
Kutoka kwa Abu Huraryah رضي الله عنه ambaye amesema: Mtume صلى الله عليه وسلم amesema: ((Allaah تَبَارَكَ وَتَعَالَىAmesema: Mimi mkamilifu [kabisa kabisa mwenye kukamilika kwa kila kitu] Sihitaji mshirika. Kwa hiyo, yule anayefanya amali kwa ajili ya mwengine isiyokuwa kwa ajili Yangu, Nitaikanusha pamoja mshirika wake)) [Muslim na Ibn Maajah]
- Login or register to post comments
- Email this page


