Wasiya Kumi Wa Allaah - Wasiya wa 6 - Kutokuikaribia (Kuila) Mali ya Yatima
Wasia wa sita ni kutokukaribia
((...وَلاَ تَقْرَبُواْ مَالَ الْيَتِيمِ إِلاَّ بِالَّتِي هِيَ أَحْسَنُ حَتَّى يَبْلُغَ أَشُدَّهُ...))
((…Wala msiyakaribie
Mwenye kula
((إِنَّ الَّذِينَ يَأْكُلُونَ أَمْوَالَ الْيَتَامَى ظُلْمًا إِنَّمَا يَأْكُلُونَ فِي بُطُونِهِمْ نَارًا وَسَيَصْلَوْنَ سَعِيرًا))
((Hakika wanaokula
Hali kadhalika haifai kuikaribia kwa ubadhirifu, na kuwabadlishia vyao vilivyo vizuri kwa kuwapa vyake mtu vilivyo viovu:
((وَآتُواْ الْيَتَامَى أَمْوَالَهُمْ وَلاَ تَتَبَدَّلُواْ الْخَبِيثَ بِالطَّيِّبِ وَلاَ تَأْكُلُواْ أَمْوَالَهُمْ إِلَى أَمْوَالِكُمْ إِنَّهُ كَانَ حُوبًا كَبِيرًا))
((Na wapeni mayatima
Yatima wako katika jukumu letu hivyo inatupasa tuwaangalie ipasavyo na kujiepusha na kuwadhulumu kwa vyovyote.
Zilipoteremshwa Aayah hizo kuhusu mayatima, ya mwanzo katika Wasiya pamoja na Aayah ya 10 Suratun-Nisaa tuliyoinukuu juu hapo, Maswahaba waliokuwa wakilea mayatima, walikhofu hata kuchanganyika kula nao. Khofu
((وَيَسْأَلُونَكَ عَنِ الْيَتَامَى قُلْ إِصْلاَحٌ لَّهُمْ خَيْرٌ وَإِنْ تُخَالِطُوهُمْ فَإِخْوَانُكُمْ وَاللّهُ يَعْلَمُ الْمُفْسِدَ مِنَ الْمُصْلِحِ وَلَوْ شَاء اللّهُ لأعْنَتَكُمْ إِنَّ اللّهَ عَزِيزٌ حَكِيمٌ))
((Na wanakuuliza juu ya mayatima. Sema: Kuwatengenezea ndio kheri. Na mkichanganyika nao basi ni ndugu zenu; na Allaah Anamjua mharibifu na mtengenezaji. Na Allaah Angelipenda Angelikutieni katika udhia. Hakika Allaah ni Mwenye Nguvu na Mwenye hikima)) [Al-Baqarah: 2:220]
Itaendelea InshaAllaah…/
- Login or register to post comments
- Email this page
- Chapisha



assalam aleikum, Na
assalam aleikum,
Na washukuru kwa jitihadi munao fanya kutuelemisha.nimegi sana ninayojuwa wakati huu nilio pata kwenu,#.
ingawa nasikitika nimeanza kusikiza quran natafsiri ile folder iliyokuwa na msahafu mzima,sijaumaliza mumetowa ,tafadhali kama inawezekana naomba murudishe.
inshallah mweyezi mungu atawabarika na kazi jema munayofanya.
hisham
Wa 'alaykumus-salaam wa
Wa 'alaykumus-salaam wa RahmatuLLaahi wa Barakaatuh
Tunashukuru kwa ombi lako, ila tunapenda kukuarifu kwamba kawaida kila wiki tunabadilisha vitu na kuweka vipya hapo Home Page, na hivyo vya zamani sio kama tunaondosha moja kwa moja, bali vinakuweko katika vitengo vyake. Ungeliweza kupata Qur-aan hiyo katika Category ya Qur-aan.
Hata hivyo tumetekeleza ombi lako na tumeshairudisha Home Page.
Tunakuombea usikilizaji mzuri wenye manufaa na wingi wa iymaan na taqwa.
Ndugu Zako
AL HIDAAYA