Skip navigation.
Home kabah

Qur-aan Neno Kwa Neno

 

 

تَرْجَمَةُ  مَعاَنِي كَلِماَتِ الْقُرْآنِ الْحكيم 

 

بِالُلغَّةِ السَّوَاحِيلِيَّةِ كََلِمَةً بِكَلِمَةٍ

 

 

Tarjuma Ya Maana Ya Maneno  Ya

 

 Qur-aan Al-Hakiym Kwa

 

Kiswahili Neno Kwa Neno

 

 

 

   

Assalaamu 'Alaykum

Karibuni kujifunza 'Tarjuma ya Qur-aan Al-Hakiym Neno Kwa Neno Kwa Lugha Ya Kiswahili'.

Ili uweze kuisoma Qur-aan hii unahitaji kuwa na Adobe Reader Version 8.

Ingia katika kiungo kifuatacho uweze kuishusha (download).

Adobe Reader 

Tunawaomba na tutashukuru mkiweza kutuma  maoni yenu au makosa yoyote mtakayoyakuta humo kupitia anuani ya webmaster@alhidaaya.com

Hati Miliki (Copy Right): Qur-aan hii sio ya kuuzwa bali inatarajiwa kugaiwa bure pindi itakapochapishwa. Hivyo ni ruhusa kutolesha nakala na kugaiwa bure popote itakapohitajika. Kwa hali yoyote ile isifanyiwe mauzo.

Tunawaomba ndugu zetu msitusahau katika du'aa zenu.

Jazaakumu Allaahu Khayra

 

 

Assalam alaykum warhmatullah

Assalam alaykum warhmatullah wabarakatuh,
kazi nzuri! Hakuna kulala! This is one of the best social websites i ever viewed, touches all areas of human life, mabrook!!! inshaallah ikimalizika kazi hii, i suggest ifuatiwe na kazi nyingine ya kutafsiri kila aya ya Quran ili tupate kujua maana haswa ya kushuka aya hiyo. Tunaishi hovyo hovyo kwasababu hatusomi Qur-an tukaelewa.
Jazaaka llahu kheir.

786 Asala Aleikum

786

Asala Aleikum Warahmatulahi Wabarakatu.
I donot have a comment but i would like to have access to your Qu'ranic, hadith teachings, translation or islamic teachings, shown in your face book and do not know whether the pass i have right now is applicale so as to acces what i need as above.

Thanks,

Abdul Maghied Abditam
Mob tel no, +256 772 621319

I'd like to to get intouch

I'd like to to get intouch with this website because there are a lot of qery going on this websiter.
on other hand I' like to get some of the lectures in English to be downloaded into my IPOD if it is oky to do
if i get permission from you if it is not oky
I'm ready to pay for downloading

Assalaam 'alaykum You may

Assalaam 'alaykum

You may contact us at webmaster@alhidaaya.com

You are allowed to download any lectures as long as they are used for personal benefit and not for sale.

Fiy AmaaniLlaah

Assalam aalaykum

Assalam aalaykum warahmatullahi wabarakatuh,

Najua kwamba igekuwa vizuri kwa kuanza na kuwashkuru kwa kitendo kizuri ambaco mlianza na tuombeni Du'ah mwenyezi mungu atufikishe salama kwa kumalizia kitendo hiki. Allahuma Amiin.
lakini ingekuwa vizuri ningewajulisha kuwa nna mkubwa wangu anaitwa MUSSA, Alhamdulillah amehifadhi Qor'an nzima.

Nashkuru saana.
Ndugu muislam kutoka Rwanda(Africa)

Assalaam aleykum, Natoa

Assalaam aleykum, Natoa pongezi kwa wote waliofanikisha kazi hii, inshaallah allah awalipe malipo yaliyo bora kabisa. Nategemea mtakamilisha kwa kutafsili juzuu zote zilizobaki inshaallah, allah awape nguvu na uwezo wa kufanya hayo na mengine ya kheri inshaallah.

Wa 'alaykumus-salaam wa

Wa 'alaykumus-salaam wa RahmatuLLaahi wa Barakaatuh

Tunashukuru kujua kwamba unafaidika na mafunzo ya Alhidaaya. Allaah Akuzidishie elimu ya Dini Yake Tukufu pamoja na sisi sote. Aamiyn.

Tuna furaha kukuarifu kwamba kazi hii tukufu imeshamalizika, ila iko katika marekebisho ya juzuu za mwishoni.

Du'aa zenu muhimu Allaah Atuwezeshe tuikamilishe na ichapishwe ili iwe mikononi mwenu na mzidi kufaidika nayo Inshaa-Allaah.

Ndugu Zako

Assalaam Aleikum,

Assalaam Aleikum,
Congratulation for translating the juzu in a manner that our children will be able to learn easier and also know arabic words.

Assalaam alaykum.! Pongezi

Assalaam alaykum.! Pongezi kubwa kwa kazi nzuri munayoifanya ktk kupigania dini ya Allah.! Inshaallah MWENYEEZI MUNGU atawalipa! Aamyn!

Nashukuru kupata uwelewa juu

Nashukuru kupata uwelewa juu ya matendo na mazingatio hapa duniani
Ninaomba mnifahamishe namna or hatua, matendo ya kusoma wakati unapomsalia maiti.

Naomba msada: tarijama ya

Naomba msada: tarijama ya cor,an neno kwa neno. njia rayisi ya kuingia kila sura ya cor,an. ahsanti

Assalaamu 'alaykum Kuhusu

Assalaamu 'alaykum

Kuhusu ombi lako, ni kwamba hii kazi bado changa, lakini pale tutakapoimaliza tutajaribu kutimiza ombi lako Inshaa-Allaah ikiwa uko uwezekano wa kufanya hivyo ulivyoomba.

Du'aa zako muhimu Allaah Atuwezeshe na Atutakabalie.

Ndugu Zako
AL HIDAAYA

Nawashukuru wote

Nawashukuru wote walioshiriki kufanikisha kupatikana kwa mafunzo ya dini kwa njia hii.
Mungu awazidishie wote