Skip navigation.
Home kabah

Iltiqaa Saakinaan- Ahkaam Za Madd - Maddut-Twabiy'iy

 

 

 “...na soma Qur-aan kwa utaratibu na utungo”

عُلومُ التَّجْوِيدِ

(Kitabu cha)

‘Uluum At-Tawjiyd

Sayansi Ya Tajwiyd

Assalaamu 'Alaykum wa RahmatuLlaah wa Barakaatuh,

Karibuni kujifunza  Sayansi Ya Tajwiyd (Maarifa Ya Elimu Ya Tajwiyd)

Ili uweze kulisoma somo hili unahitaji kuwa na Adobe Reader Version 8. Ingia katika kiungo kifuatacho uweze kuishusha (download).

Adobe Reader 

Tunawaomba na tutashukuru mkiweza kutuma maoni yenu au makosa yoyote mtakayoyakuta humo kupitia anuani ya tajwiyd@alhidaaya.com

Hati Miliki (Copy Right): Kitabu hiki cha Tajwiyd si cha kuuzwa bali kinatarajiwa kugaiwa bure pindi kitakapochapishwa. Hivyo ni ruhusa kutolesha nakala na kugawa bure popote itakapohitajika. Kwa hali yoyote ile isifanyiwe mauzo.

Tunawaomba ndugu zetu msitusahau katika du'aa zenu.

 

 

 

Inaendelea ........