Skip navigation.
Home kabah

Iyyaaka Na'budu Wa Iyyaaka Nasta'iyn - Adabu Na Sharti Za Du'aa

 

 

KITABU CHA DU’AA

 

IYYAAKA NA’ABUDU WA IYYAAKA NASTA’IYN

 

Ummu Iyyaad - Talha Al-Hamed

 

 

 

 

 

 

Assalaamu 'Alaykum

Karibuni kupata manufaa ya Kitabu cha Du'aa 'Iyyaaka Na'budu Wa Iyyaaka Nasta'iyn'

 

Ili uweze kukisoma Kitabu hiki, unahitaji kuwa na Adobe Reader Version 8. Ingia katika kiungo kifuatacho uweze kuishusha (download).

Adobe Reader 

Tunawaomba na tutashukuru mkiweza kutuma  maoni yenu au makosa yoyote mtakayoyakuta humo kupitia anuani ya  vitabu@alhidaaya.com 

Hati Miliki (Copy Right):  ya Kitabu hiki sicho cha kuuzwa bali kinatarajiwa kugaiwa bure pindi kitakapochapishwa. Hivyo ni ruhusa kutolesha nakala na kugaiwa bure popote itakapohitajika. Kwa hali yoyote ile isifanyiwe mauzo.

Tunawaomba ndugu zetu msitusahau katika du'aa zenu.

Jazaakumu Allaahu Khayra

 

01-Tunzo

02- Dibaji

03- Utangulizi

04- Maana Ya Du'aa

05- Hali Ya Du'aa Baada Ya Kuombwa

06- Fadhila Za Du'aa

07- Kwa Nini Tuombe Du'aa Na Umuhimu Wa Kuomba Du'aa

08- Adabu Na Sharti Za Du'aa