|
|
User loginPokea Makala |
IBRAAHIYM LETHOME - Je, Uislamu Ni Dini Ya Kinyama? - 2 |
YanayohusianaFeature
Kikokotoo (Calculator) Cha ZakkahZingatio La WikiRamadhaan - Tukubalie Swawm Zetu
Ya 'Aalimul-Ghayb, hakuna mwengine wa kuabudiwa kwa haki illa Wewe. Ya Rahmaan heshima zetu zimepunguwa mbele yako, na wengine walikithirisha madhambi hadi mwezi wa Ramadhaan. Tunakushirikisha hali ya kuwa tunajuwa Huna mshirika. Kwani wapo wengine wamemfanya mungu kuwa ni Ramadhaan! Na sasa wanajiandaa kukuasi kwa nguvu mpya. Ya Rahiym hatuna uwezo wala nguvu zaidi Yako. Sisi ni dhaifu chini ya dhaifu, hakuna hilla wala uwezo isipokuwa Wako. |
|
|