Hukumu Ya Matari Na Firimbi Katika Sheria
KIMETOLEWA NA SHARIFF ABDALLA SALIM AL-HUSEINY
Kitabu hiki kina mafundisho ya makatazo ya kupiga Matari na Firimbi katika Ibada na sherehe, jambo ambalo wengi wamelichanganya na kulichukulia kuwa sio makatazo yaliyotiliwa mkazo katika sheria ya Kiislamu, wakati hukumu yake huingia katika haraamu ikiwa haikufuatwa ilivyoruhusiwa katika sheria.
»
- Login or register to post comments
- Email this page
