Skip navigation.
Home kabah

Alhidaayah Katika Ahkaam Za Tajwiyd

 

Alhidaayah

 

Katika Ahkaam Za Tajwiyd

 

الْهِدَايَة فِي أحْكامِ التَّجْويدِ

 

 

Imekusanywa na: Ummu Iyyaad

 

YALIYOMO

 

01-Utangulizi

 

02 - Historia Ya Elimu Ya Tajwiyd  Na Viraa

·         Chati ya kielezo kuanzia Wahyi wa Qur-aan hadi kutufikia sisi

 

03-Herufi Saba Na Viraa Saba

 

04-Umuhimu wa Elimu ya Tajwiyd 

 

05- Faida za Elimu ya Tajwiyd

 

06- Aina Za Usomaji Wa Qur-aan

 

07-Adabu Za Kusoma Qur-aan

 

08- Sajdatut-Tilaawah  Sijda Ya Kisomo

 

09- Lahnul-Jaliy Na Lahnul-Khafiy  - Makosa ya Dhahiri na Makosa Ya Kufichika

·         Lahnul-jaliy- Makosa (makubwa) ya dhahiri

·         Lanhnul-khafiy – Makosa (madogo) ya kufichika

 

10-Isti’aadhah Na Basmalah

 

11-Makhaarij Al-Huruwf  - Matokeo ya Herufi

·         Al-Jawaf (Uwazi wa Kinywa) na Al-Halq (Koo)

·         Al-Lisaan (Ulimi)

·         Ash-Shafataan (Midomo Miwili) na Al-Khayshuwm (Puani)

·         Picha ya Makhaarij-Al-Huruwf (Matokeo ya herufi) yote

·         Mukhtasari wa Makhaarij Al-Huruw

 

12-Swiffaatul-Huruwf - Sifa Za Herufi

 

13- Al-Waqfu Wal-Ibtidaai – Kisimamo Na Kianzio

·         Umuhimu wa Maarifa Ya Al-Waqfu Wal-Ibtidaa

·         Aina za Al-Waqfu (Kisimamo) na Aina Zake

·         Al-Waqf At-Taamm – Kisimamo Kilichokamilika

·         Al-Waqf Al-Kaafiy – Kisimamo Cha Kutosheleza  

·         Al-Waq Al-Hasan – Kismamo Kizuri

·         Al-Waqf Al-Qabiyh – Kisimamo Kinachochukiza Au Kibaya  

·         At-Ta’aanuq - Kisimamo Cha Kujumuika Pamoja

·         As-Sakt – Kipumziko

·         Alama za Alama Za Kusimama Katika Msahafu 

·         Hitimisho Kuhusu Al-Waqf Wal-Ibtidaa

 

14-Nuwn Saakinah Na Tanwiyn

·         Idhwhaar - Kudhihirisha

·         Idghaam  - Kuingiza, Kuchanganya

·         Iqlaab      - Kugeuza

·         Ikhfaa      - Kuficha

·         Mazoezi Ya Nuwn Saakinah na Tanwiyn

 

15-Miym Saakinah

 

 

 

 

 

 

16-Idghaam Al-Mutamaathilayni, Al-Mutajaanisayni, Al-Mutaqaaribayni

·         Idghaam Mutamaathilayni - Zilizofanana

·         Idghaam Mutajaanisayni   - Zilizoshabihiana

·         Idghaam Mutaqaaribayni   - Zilizokaribiana

 

17-Al-Qalqalah

·         Mazoezi ya Qalqalah

 

18–At-Tafkhiym Na At-Tarqiyq – Kufanya Nene Na Nyembamba

·         Mazoezi ya tafkhiym na tarqiyq

·         Tafkhiym na Tarqiyq ya Alif ya Madd Na Mazoezi

·         Tafkhiym na Tarqiyq Ya Laam Ya Lafdhw Al-Jalaalah Na Mazoezi

·         Tafkhiym na Tarqiyq Ya Raa Na Mazoezi

 

19- Idhwhaar Na Idghaam Katika Laam

 

20-Hamzatul-Qatw’i Na Hamzatul-Waswl - Hamzah Ya Kutenganisha Na Ya Kuunga

·         Hamzatul-Waswl

·         Kuingiliana Na Kukutana Hamzatul-Waswl Kwa Hamzatul-Qatw’

 

21-Iltiqaaul-Harfaynis-Saakinayni – Mkutano Wa Herufi Mbili Za Saakinah

·         Mazoezi ya Iltiqaaul-Harfaynis-Saakinayni

 

22- Al-Madd

·         Maddutw-Twabiy’iy na Mazoezi

·         Aina Za Maddutw-Twabiy’iy na Alifaatus-Sab-‘iy  - Alif Saba

·         Swillatus-Sughraa

·         Maddul-Badal

·         Maddul-‘Iwadhw

·         Maddut-Tamkiyn

·         Alifaatu Hayyun Twahur

 

 

 

23- Yanayotatiza Kwa Baadhi Ya Wanafunzi

 

24-Mandhwumatul-Muqaddimah Ya Al-Jazariyy

 

25- Faharsa

 

 

 

 

Allah awajaze kila la kheri

Allah awajaze kila la kheri waanzilishi wa programu hii

Assalam alaikum warahmatullah

Assalam alaikum warahmatullah wabarakatuh. Alhamdulillah namshukuru Allah kwa neema hii alotupa ya kuwa na website ambayo inatupa elimu kubwa na yamanufaa, Subhanallah. Allah awalipe kwa kila sekunde na kwakila herufi na akili na resources zote mnazotumia awajazie mema kwenye mizanu zenu za kheri na iwe ni sababu ya kuipata pepo ya Firdaus-Amin.

Assalaam alaykum

Assalaam alaykum warahmatullahi wabaarakatuhuu. Allah atakulipeni ujira mkubwa kwa elimu manayoto kwa wasomaji. Nilitaka ku down load kipengele hiki lakini si active. "19-Nuwn Saakinah Na Tanwiyn - Idhw-haar, Idghaam, Iqlaab, Ikhfaa"

ASSALAMU ALAYKUM

ASSALAMU ALAYKUM WARAHMATULLAHI WABARAKATUH ALLAH AWALIPE KILA LA KHERI KATIKA KUUELIMISHA UMMAH WA KIISLAM NAKUPENDENI SANA KWA AJILI YA ALLAH

ASALAM ALAIKUM WARAHMATULLAH

ASALAM ALAIKUM WARAHMATULLAH WABARAKATUH
Alhamdulillah ALLAH MWINGI WA REHMA awalipe team nzima ya al hidaaya kwa kutupatia muongozo huu adhim ktk kukisoma kitab kitukufu al quran. amiin allahumma amiin

nawatakia kila la kheri

nawatakia kila la kheri kwakua kazi hiyi ninzito na mnajitahidi kutuelimisha na tumeshapata faida kuubwa sana alhamdulillah.Allah awzidishieni Amin.

AASSALAAM ALAYKUM WA RAHMATU

AASSALAAM ALAYKUM WA RAHMATU LLAHI WA BARAKATUH. JAZAKA LLAHU KHAYRAN. KWA WOTE MLIOSHIRIKI KATIKA KUITIMIZA KAZI HII . ALLAH AKULIPENI YALIO MAZURI DUNANI NA AKHERA KUTOKA NA NIA ZETU. AAMIIN.

KWASOTE ALLAH ATUWEZESHE KUISOMA NA KUIFANYIA KAZI KAMA WALIVOTIMIZA MTUME MUHAMMAD( SALLA LLAHU ALAYHI WA SALLAM) NA MASAHABA ZAKE(REHMA NA AMANI ZIWE JUU YAO) AAMIIN

Rudi Juu