Imaam Ibn Hibbaan - Mbora Ni Yule Anayekutakia Khayr

Mbora Ni Yule Anayekutakia Khayr

www.alhidaaya.com

 

Imaam Ibn Hibbaan (Rahimahu Allaah) amesema:

 

"Bora wa ndugu ni wale wanaomtakia khayr mwenzao. Ni bora kupigwa na mtu anayekutakia khayr, kuliko kusalimiwa na mtu mwovu."

 

[Ar-Rawdhwah, uk. 195]
 

Share