Imaam Maalik - Mijadala Inavuruga Dini

Mijadala Inavuruga Dini

www.alhidaaya.com

 

Is-haaq bin 'Iysaa (Rahimahu Allaah) amesema:

"Nilimsikia Imaam Maalik akipinga mijadala katika Dini, akisema: 'Kila mara anapokuja mtu ambaye anajua kujadili vizuri zaidi kuliko mwengine, anatutaka sisi (kwa hiyo mijadala yake) tuache yale Jibriyl aliyomletea Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)."

 

[Sharaf Asw-haab Al-Hadiyth, uk. 5]

 

Share