Imaam Al-Hasan Al-Baswriy - Dunia Ni Kama Ndoto Nzuri Inayoyeyuka Usingizi Ukikatika

Dunia Ni Kama Ndoto Nzuri Inayoyeyuka Usingizi Ukikatika

www.alhidaaya.com
 

 

Imaam Al-Hasan Al-Baswriy (Rahimahu Allaah) alisoma (Aayah ifuatayo):
{{Sema: “Starehe za dunia ni chache...}}
Kisha akasema:
 
"Allaah Amemrehemu mja aliyesuhubiana nayo Dunia) kwa kadiri hiyo.
Dunia nzima kuanzia mwanzo wake hadi mwisho wake, si chochote isipokuwa ni kama mfano wa mtu aliyekwenda kulala akaota ndotoni anachokipenda kisha (ghafla akajikuta) kaamka."

 

[Al-Mujaalasah, mj.5, uk.227]
 

Share