Shaykh Sulaymaan Ar-Ruhayliy - Nasiha Zenye Kima Kwa Watafutaji Elimu

Nasiha Zenye Kima Kwa Watafutaji Elimu
 
 
Shaykh Sulaymaan Ar-Ruhayliy (Hafidhwahu Allaah) amesema:
 
 
"Na kwa hivyo enyi ndugu, Nasiha ni kuwa, kwa yule ambaye kutawepesika kwake kuwafundisha watu, basi haimpasi kuchelewesha, na afundishe kwa kadiri ya elimu yake. Asijikakamue nafsi yake kwa asilo na elimu nalo, na asifanye upungufu kwa kile alicho na elimu nalo.
Na huu ndio usawa.
 
 
[Sharh Kitaab Al-Buyuw' Min Buluwgh Al-Maraam, Darsa Ya Sita]
 
Share