Shaykh Zayd Al-Madkhaliy - Usikae Na Watu Wa Bid'ah

 
Usikae Na Watu Wa Bid'ah
 
 
Shaykh Zayd bin Muhammad Al-Madkhaliy (Rahimahu Allaah) amesema:
 
 
"Watu wa bid'ah ambao wanalingania watu katika bid'ah zao; ziwe za aina zozote zitakazokuwa hizo bid'ah, wanapaswa kuhamwa, kutahadharishwa, na kuachwa vikao vyao, na kukusanyika nao, na kuamkia kwao, na kwenda kwao au kuwa nao.
 
Na haliwi hilo (la kukaa nao mbali), ila kwa sababu ya khatari ya bid'ah na balaa lake."
 
 
[Sharh Al-Uswuwl Ath-Thalaathah, 190]
 
Share