Imaam Ahmad bin Hanbal - Shikamaneni Na Sunnah

Shikamaneni Na Sunnah
 
 
Imaam Ahmad bin Hanbal (Rahimahu Allaah) amesema:
 
 
"Allaah Amemrehemu mja anayesema Haki, na akafuata Athar, na akashikamana na Sunnah, na akawaiga (kufuata mwendo wa) waja wema."
 
 
[Twabaqaat Al-Hanaabilah 1/36]
Share