Imaam Ibn Mubaarak - Anayetafuta Kuifahamu Dini Bila Isnaad

Anayetafuta Kuifahamu Dini Bila Isnaad
 
 
Imaam Ibn Mubaarak (Rahimahu Allaah) amesema:
 
 
"Mfano wa yule anayeitafuta (kuifahamu) Dini bila Isnaad (maagemezi ya dalili) ni mfano wa yule anayepanda darini bila ngazi."
 
 
[Adab Al-Imlaa Wal Istimaa', mj. 6. uk. 1]
 
 
Share