'Abdullaah bin 'Abbaas - Msikae Na Watu Wa Bid'ah Wala Kushirikiana Nao

Msikae Na Watu Wa Bid'ah Wala Kushirikiana Nao
 
 
Amesema 'Abdullaah bin 'Abbaas (Radhwiya Allaahu 'anhumaa):
 
"Msikae na watu wa Matamanio ya nafsi, hakika kukaa nao kunasababisha maradhi (kunaharibu Dini)."
 
 
[Isnaad yake ni sahihi kama ilivyo katika Utangulizi wa Sunan Ad-Daarimiy]
 
 
 
Share