Shaykh Muqbil Al-Waadi'iy - Hizbiy Akitaka Mjadala Mpuuze

Hizbiy Akitaka Mjadala Mpuuze

 

Imaam Muqbil Al-Waadi'iy (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Shaykh Muqbil Al-Waadi’iy (Rahimahu Allaah) amesema:

 

“Na anapokuja Hizbiy kwa mmoja katika ndugu kwa ajili ya Allaah akamwambia:

‘Nataka kujadiliana nawe’

Basi (Sunniy) amjibu (huyo Hizbiy) amwambie: ‘Sina wakati, na wewe ni mtu mtupu (huna lolole la faida)’

 

 

[Tuhfatu Al-Mujiyb, uk. 355]

 

Share