'Abdullaah bin Mas'uwd (Radhwiya Allaahu 'anhu) Watatokea Watu Watakaoacha Sunnah Mkiwatenga Watakutuhumuni Mno

Watatokea Watu Watakaoacha Sunnah Mkiwatenga Watakutuhumuni Mno

 

‘Abdullaah bin Mas’uwd  (Radhwiya Allaahu ‘anhu)

 

www.alhidaaya.com  

 

 

“Watakuja watu watakaoacha Sunnah mfano huu (akikusudia mfano wa vidole).

Mtakapowatenga watakuja na tuhuma kubwa mno. Na hakika Ahlul-Kitaab hawakuwa isipokuwa mwanzo wakiacha Sunnah, na mwishowe ikafika wao kukaribia kuacha Swalaah. Na lau si kustahi kwao, wangeliacha Swalaah.

 

 

Sharh Uswuwl I’tiqaad Ahlis-Sunnah (1/91)

 

 

Share