Maalik Bin Diynaar: Watu Wataondoka Duniani Bila Ya Kuonja Utamu Wake Mzuri Kabisa

Watu Wataondoka Duniani Bila Ya Kuonja Utamu Wake Mzuri Kabisa

 

Maalik Bin Diynaar (Rahimahu-Allaah)

 

www.alhidaaya.com 

 

 

Salam Al-Khawwaas amehadithia: Maalik bin Diynaar amesema:

“Watu Wataondoka duniani bila ya kuonja utamu wake mzuri kabisa.”  Akaulizwa: “Je, ni upi huo utamu?” Akajibu: “Ma’rifah ya Allaah (Elimu ya Majina na Swifaat Zake pamoja na yanayowaathiri  na kuwahusu viumbe Vyake).

 

 

[Siyar A'alaam An-Nubalaa - Adh-Dhahabiy (5/363)]

 

 

Share