Ibn Mas'uwd (Radhwiya Allaahu 'anhu) - Mwenye ‘Ilmu Ya Qur-aan Anatambulika Kwa Sifa Sita

Mwenye ‘Ilmu Ya Qur-aan Anatambulika Kwa Sifa Sita

 

Ibn Mas’uwd (Radhwiya Allaahu 'Anhu)  

 

www.alhidaaya.com 

 

 

“Mbebaji Qur-aan lazima atambulike kwa:

Nyusiku zake wakati watu wamelala (kwa kuswali Tahajjud).

Mchana wake wakati watu wanakula (kwa kufunga Swawm).

Huzuni yake wakati watu wana furaha.

Machozi yake wakati watu wanacheka.

Kunyamaza kwake wakati watu wanabishana.

Na unyenyekevu wake wakati watu wanatuhumiwa.”

  

 

[At-Tibyaan fiy Adaab  Hamalat Al-Qur-aan - Imaam An-Nawawiy]

 

 

Share