Ibn Mas'uwd (Radhwiya Allaahu 'Anhu) - Nasiha Tatu Kwa Wanafunzi

Nasiha Tatu  Kwa Wanafunzi  

 

Ibn Mas’uwd (Radhwiya Allaahu ‘Anhu)

 

www.alhidaaya.com 

 

Ibn Mas’uwd alikuwa akiwanasihi wanafunzi wake: “Ikiwa niyyah zenu ni moja katika hizi tatu, basi msitafute elimu:

Kuwafedhehesha wasio na ‘ilmu, au kubishana na Fuqahaa (‘Ulamaa) au kuwafanya watu waelekeze nyuso upande wenu.

Niyyah ziwe kwa kauli na matendo kwa ajili ya Allaah kwani hakika yaliyoko kwa Allaah yatabakia na mengine yote yatatoweka.”

 

 

[http://aloloomenglish.net/vb/showthread.php?1044-Sincerity-in-Actions]

 

Share