201-Aayah Na Mafunzo: Miongoni Du’aa Alizokuwa Akiomba Sana Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa sallam)

Aayah Na Mafunzo

Al-Baqarah

 

Miongoni Mwa Du’aa Alizokuwa Akiomba Sana Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)

 

www.alhidaaya.com

 

 

 وَمِنْهُم مَّن يَقُولُ رَبَّنَا آتِنَا فِي الدُّنْيَا حَسَنَةً وَفِي الْآخِرَةِ حَسَنَةً وَقِنَا عَذَابَ النَّارِ ﴿٢٠١﴾

201. Na miongoni mwao kunawasemao: “Rabb wetu Tupe katika dunia mazuri na katika Aakhirah mazuri na Tukinge na adhabu ya moto.”

 

 

Mafunzo:

 

 عَنْ أَنَسٍ ‏ رضى الله عنه ‏ قَالَ: كَانَ أَكْثَرُ دُعَاءِ رَسُولِ اَللَّهِ  صلى الله عليه وسلم: ((رَبَّنَا آتِنَا فِي اَلدُّنْيَا حَسَنَةً, وَفِي اَلْآخِرَةِ حَسَنَةً, وَقِنَا عَذَابَ اَلنَّارِ)) مُتَّفَقٌ عَلَيْهِ.‏

Imepokelewa kutoka kwa Anas (Radhwiya Allaahu 'anhu) kwamba Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) alikuwa akiomba sana du’aa: ((Rabbanaa Aatinaa fid-duniya hasanatan wa fil-Aakhirati hasanatan wa Qinaa ‘adhaaban-naar))  [Al-Bukhaariy na Muslim]

 

 

Share