09-Shaykh Swaalih Al-Fawzaan: Mwanamke Alikuwa Mgonjwa Akafariki Naye Hakufunga Ramadhwaan

Mwanamke Alikuwa Mgonjwa Akafariki Naye Hakufunga Ramadhwaan

 

Shaykh Swaalih Al-Fawzaan

 

www.alhidaaya.com

 

SWALI: 
 

Mwanamke kasibiwa na maradhi akafariki naye hakufunga Ramadhwaan na wala hakulipa, je alipiwe?   

 

 JIBU:

 

Ikiwa aliacha kufunga swiyaam kwa ajili ya maradhi na akafa kwayo, hana juu yake kitu. 

 

Fataawa Shaykh Al-Fawzaan

 

 

Share