03-Shaykh 'Abdul-'Aziyz Aal Ash-Shaykh: Kupiga Punyeto Mchana Wa Mwezi Wa Ramadhwaan

 

Kupiga Punyeto Mchana Wa Mwezi Wa Ramadhwaan 

 

Shaykh 'Abdul-'Aziyz Aal Ash-Shaykh (Rahimahu-Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

SWALI:

 

Muuliza kutoka Canada anauliza, nimetoa Manii (punyeto) mchana wa Ramadhwaan hali ya kuwa nimefunga. Nifanye nini? 

 

JIBU:

 

(Alichofanya ni haraam) na ni juu yake alipe siku hio. Kwa kuwa kutoa manii kwa makusudi haijuzu. Allaah Anasema: "Mwenye kufunga anatakiwa kuacha chakula chake, kinywaji chake na matamanio yake kwa ajili Yangu". 

 

Share