Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Kufuzu Kwa Hakika Ni Kuwekwa Mbali Na Moto Na Kuingia Jannah

Kufuzu Kwa Hakika Ni Kuwekwa Mbali Na Moto Na Kuingia Jannah

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah) amesema:

 

"Kufuzu kiuhakika si kufaulu kwa kupata kitu duniani bali kufuzu ni kuwekwa mbali na moto na kuingizwa  Jannah."

 

 

[Sharh Swahiyh Al-Bukhaariy (8/289)]

 

 

Share