09-Imaam Ibn Baaz Na Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Lipi Lililo Bora Katika Kufunga Sitta Shawwaal?

Lipi Lililo Bora Katika Kufunga Sitta Shawwaal?

 

Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah) Na Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah) amesema:

 

"Akifanya hima kuzifunga mwanzoni mwa mwezi basi ni bora zaidi."

 

 

[Al-Fataawaa (15/390)]

 

 

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah) amesema:

 

"Lililo bora kufanywa kuhusu Swiyaam za Sitta Shawwaal ni kuzifunga siku sita baada ya ‘Iyd na ziwe za kufufuliza."

 

 

[Al-Fataawaa (20/20)]

 

 

Share