Shaykh Zayd Al-Madkhaliy: Ee Mwanafunzi Zidisha Juhudi Katika Kutafuta Elimu

 

Ee Mwanafunzi Zidisha Juhudi Katika Kutafuta Elimu

 

Shaykh Zayd Al-Madkhaliy (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Shaykh Zayd Al-Madkhaliy (Rahimahu Allaah) amesema:

 

“Fanya juhudi ee Twaalibul-‘Ilm (mtafuta elimu/mwanafunzi) hadi upate fungu la elimu ambalo litakuwezesha kukunufaisha wewe na kuwanufaisha watu wengine; na (kwa elimu hiyo) ukapata ujira usio na idadi.”

 

 

[Rafiyq Al-Jannah Bisharhi Swariyh As-Sunnah, uk. 26]

 

 

Share